Fri Apr 21 2023 14:15:37 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 14:15:38 +03:00
parent dc29094a40
commit 50a7af715b
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

1
17/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 BWANA akamwambia Musa, "Iweke fimbo ya Haruni mbele ya amri za agano. Iweke iwe ishara ya hatia mbele ya watu waliopinga ili ukomeshe malalamiko dhidi yangu, bila hivyo watakufa." \v 11 Musa akafanya kama BWANA alivyoagiza.

1
17/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wana wa Israeli wakanena na Musa wakisema, "tutakufa hapa! Wote tutaangamia! \v 13 Kila mmoja anayekuja hapa, anayekaribia masikani ya BWANA, atakufa. Je, ni lazima wote tuangamie?"

View File

@ -323,6 +323,7 @@
"17-01",
"17-03",
"17-06",
"17-08"
"17-08",
"17-10"
]
}