Fri Apr 21 2023 11:49:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 11:49:12 +03:00
parent 8d3517166c
commit 3bb41aa9ed
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
08/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Wataacha kutoa huduma hii watakapokuwa na umri wa miaka hamsini. Katika umri huu hawatakiwi kuendelea na huduma tena. \v 26 Wanaweza kuwasaidia ndugu zao wanaoendelea kufanya kazi ndani ya hema ya kukutania, lakini hawatakiwi kufanya kazi tena. Utawaelekeza Walawi kuyafahamu haya yote."

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 9 \v 1 BWANA akanena na Musa katika jangwa la Sinai, mwezi wa kwanza wa mwaka wa pili baada ya kutoka katika nchi ya Misri. Akasema, \v 2 "Wana wa Israeli wataikumbuka Pasaka katika wakati wake kila mwaka. \v 3 Siku ya kumi na nne ya mwezi huu, muda wa jioni, utaikumbuka Pasaka kila mwaka kwa muda uliopangwa. Lazima uikumbuke, fuata taratibu zake zote na utii sheria zake zote zinazohusiana na tukio hilo.

1
09/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 9

View File

@ -200,6 +200,8 @@
"08-18",
"08-20",
"08-22",
"08-23"
"08-23",
"08-25",
"09-title"
]
}