Sat Apr 22 2023 06:42:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 06:42:45 +03:00
parent 2c0ce52000
commit 25071f9f56
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

1
22/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Ndipo Balaamu alipomjibu Balaki, "Tazama, mimi nimekuja kwako. Je mimi sina mamlaka ya kusema chochote? Mimi ninaweza kusema maneno ambayo Mungu ameweka kinywani mwangu." \v 39 Balaamu akaenda na Balaki, na Wakafika Kiriathi Huzothi. \v 40 Kisha Balaki akatoa sadaka ya makisai na kondoo na kumpatia Balaamu baadhi ya hiyo nyama na wale viongozi waliokuwa pamoja naye.

1
22/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Kesho yake asubuhi, Balaki akampeleka Balaamu mpaka juu mahali pa Baali. Kule juu Balaamu aliweza kuona sehemu tu ya kambi za Waisraeli.

View File

@ -397,6 +397,7 @@
"22-28",
"22-31",
"22-34",
"22-36"
"22-36",
"22-38"
]
}