Sat Apr 22 2023 09:39:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 09:39:24 +03:00
parent d62f65868a
commit 1d26369eec
4 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
33/53.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 53 Mtachukua hiyo ardhi iwe mali yenu na muishi ndani yake, kwa sababu nimewapeni hiyo nchi iwe mali yenu. \v 54 Mtairithi hiyo nchi kwa kupiga kura, kwa kufuata kila ukoo. Kwa zile koo kubwa kubwa mtawapa sehemu kubwa ya ardhi, na kwa zile koo ndogo ndogo mtawapa sehemu ndogo ya ardhi. Kura itakapoanguka kwenye kila ukoo, hiyo ardhi itakuwa mali yake. Mtairithi ardhi kufuata ukoo wa kabila la jamaa zenu.

2
33/55.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 55 Lakini kama hamtawafukuza wenyeji wa nchi hiyo watoke mbele yenu, ndipo wale watu mtakaowaruhusu wakae nanyi watakapokuwa kama sindano machoni mwenu na miiba katika mbavu zenu. Watayafanya
maisha yenu yawe magumu katika nchi mnayoishi. \v 56 Ndipo itakapotokea kuwa kile ambacho Mimi ninakusudia kufanya kwa wale watu, Nitawafanyia pia ninyi'"

1
34/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 34

View File

@ -573,6 +573,9 @@
"33-41",
"33-44",
"33-47",
"33-50"
"33-50",
"33-53",
"33-55",
"34-title"
]
}