Sat Apr 22 2023 08:47:08 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
21f42643fd
commit
0b7ac66f06
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 48 Kisha wale maakida wa jeshi, makamanda wa elfu na makapteni wa mamia, wakaja kwa Musa. \v 49 Wakamwambia, "watumishi wako wamewahesabu wanajeshi ambao wako chini yetu, hakuna hata mmoja wao aliyekosa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 50 Tumemletea BWANA sadaka, ambayo kila mmoja amepata, vitu vya dhahabu, metali, timbi, pete za mhuri, vipini na vikuku, ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA." \v 51 Musa na Eliazari kuhani wakapokea kutoka kwao dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 52 Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. \v 53 Kila mwanajeshi alikuwa ameteka nyara ya kila mtu kwa ajili yake. \v 54 Musa na Eliazari kuhani wakazichukua zile dhahabu toka kwa makamanda wa maelfu na makepteni wa mamia.Wakavipeleka kwenye hema ya kukutania kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA.
|
|
@ -534,6 +534,8 @@
|
|||
"31-36",
|
||||
"31-39",
|
||||
"31-42",
|
||||
"31-47"
|
||||
"31-47",
|
||||
"31-48",
|
||||
"31-50"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue