Fri Apr 21 2023 08:56:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 08:56:26 +03:00
parent 9da1b15837
commit 05a0d5e4fd
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
02/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Hawa ndio Waisraeli, waliohesabiwa kufuata familia zao. Wote waliohesabiwa kwenye kambi zao, kwa kufuata vikosi vyao ni 603, 550. \v 33 Lakini Musa na Haruni hawakujumuisha Walawi kwenye Hesabu ya Waisrael. Ilikuwa kama BWANA alivyokuwa amemwagiza Musa.

1
02/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Watu wa Israeli walifanya yote ambayo BWANA alimwagiza Musa. Walipanga kwa kufuata mabango yao. Walisafiri kutoka kambini kwa kufuata jamaa zao, kwa mpangilio wa familia za koo zao.

1
03/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 3

View File

@ -81,6 +81,9 @@
"02-25",
"02-27",
"02-29",
"02-31"
"02-31",
"02-32",
"02-34",
"03-title"
]
}