Fri Apr 21 2023 13:43:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-21 13:43:31 +03:00
parent e2c3dde98f
commit 0124fcd2fa
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
15/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 BWANA akanena na Musa tena, akasema, \v 38 "Waambie wana wa Israeli na uwaamuru wajifanyie vishada wavining'inize katika mapindo ya mavazi yao, wavining'ineze katika ncha zote kwa nyuzi za rangi ya samawati. Watu wote watafanya hivi kwa watu wote wa kizazi chote. \v 39 Huu utakuwa ukumbusho maalumu kwenu, kila mtakapovitazama, mtakumbuka amri zangu, na kuzishika ili kwamba msije mkatangatanga katika mioyo na macho yenu na kuwa waasherati wa hayo.

1
15/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Fanyeni hivi ili kwamba mweze kukumbuka na kutii amri zangu zote, na ili kwamba mpate kuwa watakatifu, waliotunzwa kwa ajili yangu, Mungu wenu. \v 41 Mimi ndimi BWANA Mungu wenu niliyekutoa toka nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi BWANA Mungu wenu."

1
16/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 16

View File

@ -296,6 +296,9 @@
"15-27",
"15-30",
"15-32",
"15-35"
"15-35",
"15-37",
"15-40",
"16-title"
]
}