Wed Aug 17 2022 12:21:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-17 12:21:35 +03:00
commit 4a0ac564c8
272 changed files with 338 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Huu ndio mwanzo wa injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. \v 2 Kama ilivyoandikwa na nabii Isaya, "Tazama, ninamtuma mjumbe wangu mbele yako, mmoja atakayetayarisha njia yako. \v 3 Sauti ya mtu aliaye nyikani, "Ikamilisheni njia ya Bwana; zinyosheni njia zake".

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yohana alikuja, akibatiza nyikani na kuhubiri ubatizo wa toba iletayo msamaha wa dhambi. \v 5 Nchi yote ya Yudea na watu wote wa Yerusalemu walikwenda kwake. Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yordani, wakiungama dhambi zao. \v 6 Yohana alikuwa anavaa vazi la singa za ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake, na alikuwa anakula nzige na asali ya porini.

1
01/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Alihubiri na kusema, "Yupo mmoja anakuja baada yangu mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, na sina hadhi hata ya kuinama chini na kufungua kamba za viatu vyake. \v 8 Mimi niliwabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza ninyi kwa Roho Mtakatifu."

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Ilitokea katika siku hizo kwamba Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, na alibatizwa na Yohana katika mto Yordani. \v 10 Naye Yesu alipoinuka kutoka kwenye maji, aliona mbingu  zimefunguka wazi na Roho akishuka  juu yake kama mfano wa njiwa. \v 11 Na sauti ilitoka mbinguni, "Wewe ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa sana na wewe."

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha mara moja Roho akamwongoza kwenda nyikani. \v 13 Alikuwako nyikani siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikuwa pamoja na wanyama wa mwitu na malaika walimhudumia.

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Sasa baada ya Yohana kukamatwa, Yesu alikuja Galilaya akitangaza injili ya Mungu, \v 15 akisema, "Muda umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuamini katika injili".

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Na  alipokuwa anapita kando ya bahari ya Galilaya, alimwona Simoni na Andrea ndugu wa Simoni wakitupa nyavu zao katika bahari, kwa kuwa walikuwa wavuvi. \v 17 Yesu aliwaambia, "Njooni, nifuateni, na nitawafanya wavuvi wa watu." \v 18 Na mara moja waliacha nyavu na wakamfuata.

1
01/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Wakati Yesu alipotembea umbali kidogo, alimwona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana ndugu yake; walikuwa kwenye mtumbwi wakitengeneza nyavu. \v 20 Mara aliwaita na wao walimwacha baba yao Zebedayo ndani ya mtumbwi na watumishi waliokodiwa, wakamfuata.

1
01/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Na walipofika Kaperinaumu, siku ya Sabato, Yesu aliingia kwenye sinagogi na kufundisha. \v 22 Walilishangaa mafundisho yake, kwa vile alikuwa akiwafundisha kama mtu ambaye ana mamlaka na siyo kama waandishi.

1
01/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Wakati huo huo kulikuwa na mtu katika sinagogi lao aliyekuwa na roho mchafu, na alipiga kelele, \v 24 akisema, "Tuna nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!" \v 25 Yesu alimkemea pepo na kusema, "Nyamaza na utoke ndani yake!" \v 26 Na roho mchafu alimwangusha chini na akatoka kwake  akilia kwa sauti ya juu.

1
01/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Na watu wote walishangaa, hivyo wakaulizana kila mmoja, "Hii ni nini  Ni mafundisho mapya yenye mamlaka? Hata huamuru pepo wachafu nao wanamtii!" \v 28 Na habari kuhusu yeye mara moja zikasambaa kila mahali ndani ya mkoa wote wa Galilaya.

1
01/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Na mara moja baada ya kutoka nje ya sinagogi, waliingia nyumbani mwa Simoni na Andrea wakiwa na Yakobo na Yohana. \v 30 Mama mkwe wa Simoni alikuwa amelala mgonjwa wa homa, na mara moja walimwambia Yesu habari zake. \v 31 Hivyo alikuja, alimshika kwa mkono, na kumwinua juu; homa ikaondoka kwake, na akaanza kuwahudumia.

1
01/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Jioni hiyo wakati jua limekwisha zama, walimletea kwake wote waliokuwa wagonjwa, na waliopagawa na mapepo. \v 33 Mji wote walikusanyika pamoja nje ya mlango. \v 34 Aliwaponya wengi waliokuwa wagonjwa wa magonjwa mbalimbali na kutoa mapepo mengi, bali hakuruhusu mapepo kuongea kwa sababu walimjua.

1
01/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Aliamka asubuhi na mapema, wakati kulikuwa bado giza; aliondoka na kwenda mahali pa faragha na aliomba huko. \v 36 Simoni na wote waliokuwa pamoja naye walimtafuta. \v 37 Walimpata na wakamwambia, "Kila mmoja anakutafuta"

1
01/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Aliwaambia, "Tunapaswa kwenda mahali pengine, nje katika miji inayozunguka, ili niweze kuhubiri huko pia. Ndiyo sababu nilikuja hapa." \v 39 Alikwenda akipita Galilaya yote, akihubiri katika masinagogi yao na kukemea mapepo.

1
01/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Mwenye ukoma mmoja alikuja kwake. Alikuwa akimwomba; alipiga magoti na alimwambia, "Kama unataka, waweza kunifanya niwe safi." \v 41 Yesu alimwonea huruma, alinyosha mkono wake na kumgusa, akimwambia, "Ninataka,uwe msafi." \v 42 Mara moja ukoma ukamtoka, na alifanywa kuwa msafi.

1
01/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Yesu akamwonya vikali na akamwambia aende mara moja, \v 44 Alimwambia, "Hakikisha hausemi neno kwa yeyote, lakini nenda, ujionyeshe kwa kuhani, na utoe dhabihu kwa ajili ya utakaso ambayo Musa aliagiza, kama ushuhuda kwao."

1
01/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Lakini alikwenda na kuanza kumwambia kila mmoja na kueneza neno zaidi hata Yesu hakuweza tena kuingia mjini kwa uhuru. Hivyo alikaa mahali pa faragha na watu walikuja kwake kutoka kila mahali.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Yesu aliporudi Kapernaumu baada ya siku chache  walisikia kwamba yupo nyumbani. \v 2 Watu wengi sana walikusanyika pale na haikuwepo nafasi tena, hata ile ya mlangoni, na Yesu alisema neno kwao.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kisha baadhi ya watu walikuja kwake waliomleta mtu aliyekuwa amepooza; watu wanne walikuwa wamembeba. \v 4 Wakati waliposhindwa kumpitisha kwa sababu ya umati wa watu, waliondoa paa juu mahali pale alipokuwa Yesu. Na walipokuwa wamekwishatoboa tundu, walishusha kitanda ambacho mtu aliyepooza alikuwa amelala.

1
02/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Alipoiona imani yao, Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "mwanangu, dhambi zako zimesamehewa." \v 6 Lakini baadhi ya waandishi wale waliokuwa wamekaa pale walijihoji mioyoni mwao, \v 7 "Mtu huyu anawezaje kusema hivi? Anakufuru! Nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mara Yesu alijua rohoni mwake walichokuwa wakifikiri miongoni mwao wenyewe. Aliwaambia, "Kwa nini mnafikiri hivi mioyoni mwenu? \v 9 Lipi ni jepesi zaidi kusema kwa mtu aliyepooza, 'Dhambi zako zimesamehewa' au kusema 'Simama, chukua kitanda chakomkeka wako, na utembee?'

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 "Inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani kwako." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alienda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote wakashangaa na wakampa Mungu utukufu, nakusema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Alienda tena kando ya ziwa, na umati wote wa watu walikuja kwake, na akawafundisha. \v 14 Alipokuwa akipita alimwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi kwenye sehemu ya kukusanyia kodi na akamwambia, "Nifuate." Alisimama na kumfuata.

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Na wakati Yesu alipokuwa akipata chakula katika nyumba ya Lawi, wakusanya kodi wengi na watu wenye dhambi walikuwa wakila na Yesu na wanafunzi wake, kwa kuwa walikuwa wengi nao walimfuata. \v 16 Wakati waandishi, ambao walikuwa Mafarisayo, walipoona kwamba Yesu alikuwa akila na watu wenye dhambi na wakusanya kodi, waliwaambia wanafunzi wake, "Kwa nini anakula na wakusanya kodi na watu wenye dhambi?"

1
02/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wakati Yesu aliposikia hivi aliwaambia, "Watu walio na afya katika mwili hawamhitaji tabibu; ni watu wagonjwa pekee ndio wanamhitaji. Sikuja kuwaita watu wenye haki, lakini watu wenye dhambi."

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wanafunzi wa Yohana na Mafarisayo walikuwa wakifunga. Na baadhi ya watu walikuja kwake na kumwambia, "Kwa nini wanafunzi wa Yohana na mafarisayo hufunga, lakini wanafunzi wako hawafungi? \v 19 Yesu aliwaambia, "Je waliohudhuria harusi wanaweza kufunga wakati bwana harusi bado akiwa pamoja nao? Kwa vyovyote bwana harusi akiwa bado yuko pamoja nao hawawezi kufunga."

1
02/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini siku zitakuja wakati bwana harusi atakapoondolewa kwao, na katika siku hizo wao watafunga. \v 21 Hakuna mtu ashonaye kipande kipya cha nguo kwenye vazi kuukuu, vinginevyo kiraka kitararuka kutoka katika hilo, kipya kitararuka kutoka katika kikuukuu, nayo itachanika zaidi.

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Hakuna mtu atiaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu, vinginevyo divai itavipasua viriba na vyote viwili divai na viriba vitapotea. Badala yake, weka divai mpya katika viriba vipya."

1
02/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Katika siku ya Sabato Yesu alipita kwenye baadhi ya mashamba, na wanafunzi wake walianza kuchukua baadhi ya masuke ya ngano. \v 24 Na Mafarisayo walimwambia, "Tazama, kwa nini wanafanya kitu ambacho ni kinyume cha sheria katika siku ya Sabato?"

1
02/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Aliwaambia, "Hamkusoma kile alichofanya Daudi alipokuwa katika uhitaji na njaa—yeye pamoja na watu waliokuwa pamoja naye? \v 26 Jinsi alivyoenda katika nyumba ya Mungu wakati Abiathari alipokuwa kuhani mkuu na akala mkate uliowekwa mbele—ambao ilikuwa kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kula isipokuwa makuhani— tu. na aliwapa hata baadhi ya wale waliokuwa pamoja naye?"

1
02/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Yesu alisema, "Sabato ilifanywa kwa ajili ya mwanadamu, siyo mwanadamu kwa ajili ya Sabato. \v 28 Kwa hiyo, Mwana wa Adamu ni Bwana, wa Sabato."

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Tena Yesu aliingia ndani ya sinagogi na palikuwa na mtu mwenye mkono uliopooza. \v 2 Baadhi ya watu walikuwa wakimfuatilia kwa ukaribu kuona kama atamponya siku ya Sabato ili  wamshitaki.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Yesu alimwambia mtu mwenye mkono uliopooza, " Inuka simama katikati ya umati huu." \v 4 Kisha akawaambia wale watu, "Je ni halali kutenda tendo jema siku ya Sabato au kutenda yasiyo haki; kuokoa maisha, au kuua?" Lakini hawakujibu walibaki kimya.

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Akawatazama kwa hasira, akihuzunika kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao, na akamwambia yule mtu, "Nyoosha mkono wako". Akaunyoosha na Yesu akamponya mkono wake. \v 6 Mafarisayo wakaenda nje wakafanya njama pamoja na Maherodi dhidi yake ili kumuua.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kisha Yesu, pamoja na wanafunzi wake, walienda baharini, na umati mkubwa wa watu uliwafuata ukitokea Galilaya na Uyahudi 8 na kutoka Yerusalemu na \v 8 Idumaya na mbele ya Yordani na jirani ya Tiro na Sidoni, umati mkubwa, uliposikia kila kitu alichokuwa anakifanya, walikuja kwake.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Na aliwaambia wanafunzi wake kuandaa mtumbwi mdogo kwa ajili yake kwa sababu ya umati, ili kwamba wasije wakamsonga. \v 10 Kwa kuwa aliwaponya wengi, kila mtu aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumfikia ili amguse apone.

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Popote roho wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kulia, na walisema, "Wewe ni Mwana wa Mungu". \v 12 Aliwakemea kwa msisitizo wasimfanye akajulikana.

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Alipanda juu ya mlima, na akawaita aliowataka, na wakamwendea. \v 14 Akawachagua kumi na wawili (aliowaita mitume), ili kwamba wawe pamoja naye na akawatuma kuhubiri, \v 15 na kuwapa  mamlaka ya kutoa mapepo. \v 16 Na akawachagua kumi na wawili: Simoni, aliyempa jina la Petro,

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake Yakobo, aliyepewa jina la Bonagesi, hao ni, wana wa ngurumo, \v 18 na Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo, \v 19 na Yuda Iskariote, ambaye atamsaliti.

1
03/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakimfuata kwa pamoja, tena, hata wasiweze kula hata mkate. \v 21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, " Amerukwa na akili". \v 22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, " Amepagawa na Beelzebuli," na, " KwaNi mtawala wa mapepo na anatoa mapepo".

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Yesu aliwaita kwake na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.

1
03/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Kama Shetani atainuka kinyume chake mwenyewe na kugawanyika, hawezi kusimama, na atakuwa amefika mwisho wake. \v 27 Lakini hakuna hata mmoja awezaye kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuiba vitu vyake bila kumfunga  kwanza, na kisha kukusanya vilivyomo nyumbani.

1
03/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Kweli nawambieni, dhambi zote za wana wa watu zitasamehewa, pamoja na kufuru ambazo wanatamka, \v 29 lakini yeyote atakaye mkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, bali ana hatia ya dhambi ya milele". \v 30 Yesu alilisema hili kwa sababu walikuwa wakisema, "Ana roho mchafu".

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Kisha mama yake na ndugu zake walikuja na kusimama nje. Wakatuma mtu, kumwita. \v 32 Na umati wa watu uliokuwa umekaa umeketi karibu naye wakamwambia, "mama yako na ndugu zako wako nje, na wanakutafuta wewe".

1
03/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Aliwajibu, "Ni nani mama yangu na ndugu zangu?" \v 34 Aliwatazama waliokuwa wamekaa wamemzunguka, na akasema, "Tazama, hawa ni mama zangu na ndugu zangu! \v 35 Yeyote afanyaye mapenzi ya Mungu, mtu huyo ni ndugu yangu, na dada yangu, na mama yangu".

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Tena alianza kufundisha kando ya bahari, na umati mkubwa ulikusanyika ukamzunguka. Akaingia ndani ya mtumbwi baharini, na kuketi ndani ya mtumbwi. Umati wote ulikuwa pembeni mwa bahari ufukweni. \v 2 Na akawafundisha mambo mengi kwa mafumbo, na akawaambia  katika mafundisho yake.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 "Sikilizeni, mpanzi alienda kupanda mbegu. \v 4 Alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zilianguka njiani, na ndege wakaja wakazila. \v 5 Mbegu zingine zilianguka kwenye mwamba, ambako hapakuwa na udongo mwingi. Maramoja zikaibuka, kwa sababu haikua na udongo ya kutosha.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Lakini jua lilipochomoza, mimea zilinyauka, kwa sababu hayakua na mizizi, zilikauka. \v 7 Mbegu ziingine zilianguka katikati ya miiba. Miiba ilikua na ikazisonga, na hazikuzaa matunda yoyote.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mbegu zingine zilianguka kwenye udongo mzuri na zikazaa matunda wakati zikikua na kuongezeka na kuzaa mara thelathini zaidi, sitini, na pia mara mia moja". \v 9 Na akasema, "Yeyote mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Yesu alipokuwa peke yake, wale waliokuwa karibu naye na wale kumi na wawili walimuuliza kuhusu mafumbo. \v 11 Akawaambia, "Kwenu ninyi Mungu amewafunulia siri za ufalme wake. Lakini kwa walio nje kila kitu ni kwa mafumbo, \v 12 ili wakitazama, ndiyo watazame, lakini wasione, na wakisikia, ndiyo watasikia, lakini wasielewe, ama sivyo wakageuka na Mungu atawasamehe."

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Yesu akawaambia, "Je hamuelewi mfumbo huu? Sasa mtawezaje kuelewa mifano mingine?" \v 14 Mpanzi alipanda neno. \v 15 Hawa ndio wale walio kando ya njia, mahali neno lilipopandwa. Walipolisikia, maramoja Shetani akaja na kulichukua neno ambalo lilipandwa ndani yao.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Na baadhi ni mbegu zilizopandwa juu ya mwamba; ambao, wanapolisikia neno wanalipokea mara moja kwa furaha. \v 17 Lakini hawana mizizi yoyote ndani yao, lakini huvumilia kwa muda. Baadaye wakati dhiki na mateso yanapokuja kwa sababu ya neno, mara moja huacha imani.

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba. Wale ambao hulisikia neno, \v 19 lakini masumbuko ya dunia na udanganyifu wa mali na tamaa za mambo mengine huja na kulisonga neno, na haina tija. \v 20 Wale ambao walipandwa kwa udongo mzuri ni wale wanaoskia neno, kulipokea na huzaa matunda, thelathini, sitini, na mara mia moja zaidi.

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yesu akawaambia, " Je huwa unaleta taa ndani ya nyumba na kuiweka chini ya kikapu au chini ya kitanda? Huileta ndani na kuiweka juu ya kinara. \v 22 Kwa kuwa hakuna chochote kilichojificha ambacho hakitajulikana, na hakuna siri ambayo haitakua wazi. \v 23 Yule aliye na masikio ya kusikia, na asikie!"

1
04/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Akawaambia, " Muwe makini kwa kile mnachosikia, kwa kuwa kipimo mtatumia ndicho mtakachopimiwa, na zaidi yataongezwa kwenu. \v 25 Kwa sababu yeye aliye nacho, ataongezewa zaidi, na yule asiye nacho, kwake kitachukuliwa hata kile alicho nacho."

1
04/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Akasema, "Ufalme wa Mungu ni kama mtu aliyepanda mbegu katika udongo. \v 27 Anayelala usiku na kuamka asubuhi, na kukuta mbegu zimechipuka na kukua, ingawa hajui zilivyo chipuka. \v 28 Aridhi huzaa nafaka yenyewe: kwanza majani, halafu maua, halafu nafaka iliyo komaa. \v 29 Wakati mazao yameiva, yeye hutuma mara moja hupeleka mundu kwa maana mavuno yamefika."

1
04/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na tena akasema, "ni nini tunaweza kulinganisha na ufalme wa Mungu, au ni mfumbo mgani tunaweza tumia kuieleza?. \v 31 Ni kama mbegu ya haradali, ambayo, inapopandwa, ni ndogo zaidi kuliko mbegu zote duniani. \v 32 Hata, wakati imepandwa, hukua kubwa zaidi ya mimea yote ya bustani, na huunda matawi makubwa, kwahivyo ndege wa angani wanaweza kutengeneza viota kwa kivuli chake."

1
04/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Mafumbo mengi kama hii, yesu alinena nao neno, kwa kadri walivyoweza kuelewa, \v 34 na hakusema nao bila mafumbo. Lakini alipokuwa peke yake, aliwaelewesha wanafunzi wake.

1
04/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Siku hiyo, wakati wa jioni ulipofika, akawaambia, "Twendeni ng'ambo ile ingine." \v 36 Hivyo wakauacha umati wa watu, wakamchukua Yesu, vile alivyokua, ndani ya mtumbwi. Kulikua na mitumbwi mingine yaliyoambatana naye. \v 37 Dhoruba ya upepo mkali ikatokea, na mawimbi yalikuwa yakiingia ndani ya mashua hata mashua karibu kujaa maji.

1
04/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Lakini Yesu mwenyewe alikuwa numa ya meli, amelala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamuamsha wakamwambia, "Mwalimu, hujali kwamba tuko karibu kuangamia?" \v 39  Akaamka, akaukemea ule upepo, na akaiambia bahari, "Amani! Tulia” Ule upepo ukakoma, na kukawa na utulivu mkubwa.

1
04/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Akasema nao, "Mbona mnaogopa? Bado hamna Imani?" \v 41 Walijawa na hofu kubwa ndani yao na wakaambiana, " Huyu ni nani, hata upepo na bahari vinamtii?".

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Walikuja mpaka ng'ambo ya bahari, katika mkoa wa Gerasi. \v 2 Wakati Yesu alipokua akitoka kwa mtumbwi, mwanaume mwenye pepochafu alikuja kwake kutoka makaburini.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mtu huyu aliishi makaburini. Hakuna aliyeweza kumzuia kamwe, hata kwa kumfunga minyororo. \v 4 Alikuwa amefungwa mara kadhaa  kwa pingu na minyororo. Alikata minyororo na pingu zake zikavunjika. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Usiku na mchana akiwa makaburini na milimani, alilia na kujikata mwenyewe kwa mawe makali. \v 6 Alipomwona Yesu kwa umbali, alimkimbilia na kuinama mbele yake.

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Akalia kwa sauti kubwa, "Nina shughuli gani na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye Juu? Nakuomba kwa jina la Mungu mwenyewe, usinitese." \v 8 Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, "Mtoke mtu huyu, wewe roho mchafu."

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Yesu akamuuliza, "Jina lako ni nani?" Naye alimjibu, "Jina langu ni Jeshi, kwa kuwa tuko wengi." \v 10 Alimsihi tena na tena asiwapeleke nje ya mkoa.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe walikua wakilisha mlimani, \v 12 nao walimsihi, wakisema, "Utupeleke ndani ya nguruwe; tuingie ndani yao." \v 13 Hivyo aliwaruhusu; roho wachafu walimtoka na kuingia ndani ya nguruwe, nao nguruwe walikimbia chini ya kilima mwinuko mpaka baharini, na angalau nguruwe elfu mbili walizama baharini.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Na wale waliokuwa wakichunga nguruwe walikimbia nakwenda kutoa taarifa ya yaliyotendeka katika mji na mashambani, na watu wengi walitoka kwenda kuona kilichotokea. \v 15 Walikuja kwa Yesu na kumuona mtu aliyepagawa na pepo, aliyekuwa amepagawa na Jeshi la mapepo, amekaa hapo, amevishwa na katika akili yake sawa na wakaogopa.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Wale waliokuwa wameshudia kilichotendeka kwa mtu aliyekuwa amepagawa na mapepo waliwaambia kilichotokea kwa undani, na pia kuhusu nguruwe. \v 17 Nao walianza kumsihi Yesu aondoke katika mkoa wao.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Alipokuwa akiingia ndani ya mtumbwi, yule aliyekuwa amepagawa na mapepo alimsihi kwamba aende pamoja naye. \v 19 Lakini Yesu hakumruhusu, lakini akamwambia, "Nenda nyumbani kwako na kwa watu wako na uwaambie alichokufanyia Bwana, na huruma aliyokuonyesha." \v 20 Hivyo alienda na kuanza kutangaza mambo makuu ambayo Yesu amefanya kwake katika maeneo yote ya Dekapoli, na kila mtu alistaajabu.

1
05/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Na wakati Yesu alipovuka tena upande mwingine ndani ya mtumbwi, umati mkubwa ulikusanyika karibu naye, alipokuwa kando ya bahari. \v 22 Mmoja wa viongozi wa sinagogi aliyeitwa Yairo alikuja, na alipomwona, alianguka miguuni pake. \v 23 Akamsihi zaidi na zaidi, akisema, " Binti yangu mdogo anakaribia kufa. Ninakusihi, njoo na uweke mikono yako juu yake ili aweze kupata afya na kuishi." \v 24 Hivyo alienda pamoja naye, na umati mkubwa watu  ulimfuata nao walisonga karibu wakimzunguka.

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Kulikuwa na mwanamke kati yao ambaye damu yake ilikuwa inamtoka kwa miaka kumi na miwili. \v 26 Aliteseka vya kutosha chini ya matabibu wengi na alitumia kila kitu alichokuwa nacho, lakini badala kuendelea vizuri hali yake iliendelea kuwa mbaya. \v 27 Aliposikia habari kuhusu Yesu, alikuja nyuma yake katikati ya umati na akagusa vazi lake.

1
05/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Kwa kuwa alisema, "Kama nitayagusa mavazi yake, nitapona." \v 29 Alipomgusa, kutokwa damu kulikoma, na alijisikia katika mwili wake kwamba ameponywa kutoka mateso yake.

1
05/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na ghafla Yesu aligundua ndani yake mwenyewe kwamba nguvu zimemtoka. Akageuka katika ya umati ya watu na kuuliza, "Ni nani aliyeligusa vazi langu?" \v 31 Wanafunzi wake walimwambia, "Unaona umati huu umekusonga nawe wauliza, 'Ni nani aliyenigusa?'" \v 32 Lakini Yesu alitazama pande zote kuona ambaye aliye mgusa.

1
05/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Mwanamke huyo, akijua kilichomtendekea, aliogopa na kutetemeka. Alikuja na alianguka chini mbele yake na kumwambia ukweli wote. \v 34 Yesu akamwambia, "Binti, imani yako imekufanya uwe mzima. Enenda kwa amani na uponywe kutoka kwenye mateso yako."

1
05/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Yesu alipokuwa akizungumza, baadhi ya watu walikuja kutoka kwa kiongozi wa Sinagogi, wakisema, "Binti yako amekufa. Kwa nini kuendelea kumsumbua mwalimu?"

1
05/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema, alimwambia kiongozi wa Sinagogi, "Usiogope. Amini tu." \v 37 Hakumruhusu yeyote kuongozana naye, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana, ndugu yake Yakobo. \v 38 Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu; za kulia kwingi na kuomboleza kwa nguvu.

1
05/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mnahuzunika  na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walianza kumkejeli. Lakini aliwatoa wote nje na kumchukua baba ya mtoto na mama na wale waliokuwa naye, na akaingia mahali alipokuwa mtoto.

1
05/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Aliuchukua mkono wa mtoto na kumwambia, "Talitha koum!," ambayo ni kusema, "Binti mdogo, nakuambia, amka." \v 42 Ghafla mtoto akaamka na kutembea (kwa kuwa alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Na ghafla walishikwa na mshangao mkubwa. \v 43 Aliwaamuru kwa ukali kwamba mtu yeyote asijue kuhusu hili. Kisha akawaambia wampe binti chakula.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Na akaondoka hapo na kwenda mjini kwao Nazareti, na wanafunzi wake wakamfuata. \v 2 Sabato ilipofika, alianza kufundisha katika Sinagogi. Watu wengi walimsikiliza na wakashangazwa. Wakasema, "Amepata wapi mafundisho haya?" "Ni hekima ya namna gani hii aliyo ipata?" "Huyu Yesu anatendaje miujiza hii kwa mikono yake?" \v 3 "Je huyu si yule mtoto wa seremala, mwana wa Mariamu na ndugu yao ambao ni Yakobo, Yose, Yuda na Simioni? Je dada zake si tunaishi nao hapa pamoja nasi?" Watu wa nazareti hawakufurahishwa na mafundisho ya Yesu.

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yesu akawaambia, "Nabii hapati heshima,  katika mji wake hata kwa  ndugu zake wa nyumbani mwake." \v 5 Hakuweza kutenda miujiza, ila aliwawekea mikono wagonjwa wachache akawaponya. \v 6 Alishangazwa sana kwa sababu ya kutokuamini kwao. Kisha alivitembelea vijiji vya jirani akifundisha.

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili akaanza kuwatuma wawili wawili. Aliwapa mamlaka juu ya pepo wachafu, \v 8 na kuwaamuru wasichukue chochote wanapokwenda isipokuwa fimbo tu. Wasichukue chakula, wala mkoba, wala fedha kibindoni; \v 9 lakini wavae viatu, na siyo kanzu mbili.

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Na akawaambia, "Nyumba yoyote mtakayoingia, kaeni hapo mpaka mtakapoondoka. \v 11 Na mji wowote usipowapokea wala kuwasikiliza, ondokeni kwao, kung'uteni mavumbi ya miguu yenu, iwe ushuhuda kwao."

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Nao wakaenda wakiwaambia  watu watubu na kuacha dhambi zao. \v 13 Wanafunzi walipo kwenda waliyafukuza mapepo wengi, na waliwapaka mafuta wagonjwa na wakaponywa.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mfalme Herode aliposikia kuhusu, habari za  Yesu jinsi anavyo ponya na kufukuza mapepo, na kutambulika kwa watu. Baadhi ya watu walisema, "Itakuwa Yohana mbatizaji amefufuka na kwa sababu hiyo, hii nguvu ya miujiza inafanya kazi ndani yake." \v 15 Baadhi watu wakasema, "Huyu ni Eliya,"Ambaye Mungu aliahidi kwamba atarudi ,wengine wakasema, "Huyu ni nabii, kama mmoja wa wale manabii wa zamani."

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Lakini Herode aliposikia haya akasema, "Yohana, niliye agiza askari wamkate kichwa amefufuka." \v 17 Maana Herode mwenyewe alituma askari Yohana akamatwe na alimfunga gerezani kwa sababu ya Herodia (mke wa kaka yake ambaye ni Filipo) kwa sababu Herode alikuwa amemuoa.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa maana Yohana alimwambia Herode, "Si halali kumuoa mke wa kaka yako." \v 19 Lakini Herodia alianza kumchukia na alikuwa akitaka kumuuaYohana, lakini hakuweza, Hivyo alitafuta njia ya kumuua \v 20 maana Herode alimwogopa Yohana; alijua kwamba ni mwenye haki mtu mtakatifu, na alimwacha salama. Na alipoendelea kumsikiliza Yohana alihuzunika sana, lakini alifurahia mazungumzo yake kuyasikiliza.

1
06/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Hata ulipofika wakati mwafaka ikawa imekaribia siku ya kuzaliwa Herode akawaandalia maofisa wake sherehe, na makamanda, na viongozi wa Galilaya. \v 22 Ndipo binti yake Herodia akaingia na kucheza mbele yao, akamfurahisha mfalme Herode na wageni walioketi wakati wa chakula cha jioni. Ndipo mfalme akamwambia binti, "Niombe chochote unachotaka nami nitakupa."

1
06/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Akamwekea kiapo na kusema, chochote utakachoniomba, nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu ninao miliki." \v 24 Binti akatoka nje ya chumba cha sherehe akamuuliza mama yake, "Niombe nini?"Mama  Akasema omba, "Kichwa cha Yohana Mbatizaji." \v 25 Kwa haraka sana  akaingia kwa mfalme akaanza kusema, "Nataka unipatie juu ya sahani, kichwa cha Yohana Mbatizaji."

1
06/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Mfalme alisikitishwa sana na ombi la binti, lakini kwa sababu ya kiapo chake na kwa ajili ya wageni, hakuweza kumkatalia ombi lake. \v 27 Hivyo, mfalme akatuma askari kati ya walinzi wake na kuwaagiza kwenda kumletea binti kichwa cha Yohana. Mlinzi alikwenda kumkata kichwa Yohana akiwa kifungoni. \v 28 Akakileta kichwa chake kwenye sahani na kumpatia binti, na binti akampa mama yake. \v 29 Na wanafunzi wa Yohana waliposikia hayo, walikwenda kuuchukua mwili wake wakaenda kuuzika kaburini.

1
06/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na mitume, waliporudi kutoka kuhubiri walikusanyika pamoja mbele ya Yesu, wakamweleza yote waliyofanya na waliyoyafundisha. \v 31 Naye akawaambia, "Njooni ninyi wanafunzi wangu  mahali pa faragha na tupumzike kwa muda." Watu wengi walikuwa wanakuja kwa mitume na kuondoka, hata hawakupata muda wa kula chakula. \v 32 Hivyo wakapanda mashua wakaenda mahali pa faragha pasipokuwa na watu.

1
06/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Lakini watu  waliwaona Yesu na wanafunzi wake wakiondoka na wengi wakawatambua, kwa pamoja walikimbia kwa kupitia njia ya miguu kutoka miji yote, nao wakafika pwani kabla yao. \v 34 Yesu na wanafunzi wake  Walipofika pwani, aliona umati mkubwa na akawahurumia, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Na akaanza kuwafundisha mambo mengi.

1
06/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Muda uliendelea sana ilikuwa ni jioni, wanafunzi wakamjia wakamwambia,"Hapa ni mahali pa faragha hakuna makazi ya watu, na  muda umeendelea sana. \v 36 Uwaage watu waende miji ya jirani na vijiji ili wakajinunulie chakula."

1
06/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Lakini akawajibu akisema, "Wapeni ninyi chakula." Wakamwambia, "Tunaweza kwenda na kununua mikate yenye thamani ya dinari mia mbili na kuwapa wale?" \v 38 Akawauliza," Mna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie." walipotazama wakamwambia, "Mikate mitano na samaki wawili."

1
06/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Akawaamuru watu waketi katika makundi makundi, juu ya majani mabichi. \v 40 Wakawaketisha katika makundi; makundi ya mamia kwa hamsini. \v 41 Kisha akachukua mikate mitano na samaki wawili, na kutazama mbinguni, akamshukuru, Mungu, kisha akawapa wanafunzi waweke, ili wawape makutano. Wakaiweka mbele ya umati. Na kisha aligawa samaki wawili na kuwapa watu wote.

1
06/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Watu wote walikula  hadi wakatosheka. \v 43 Walikusanya vipande vya mikate iliyobaki, Vikajaa vikapu kumi na viwili, na pia vipande vya samaki. \v 44 Na walikuwa wanaume elfu tano waliokula mikate. na samaki. Lakini wanawake na watoto hawakuhesabiwa.

1
06/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Kisha akawaambia wanafunzi wake, wapande kwenye mashua waende sehemu nyingine, hadi Bethsaida, wakati Yeye akiwaaga makutano. \v 46 Watu walipokwisha  kuondoka, Yesu akaenda mlimani kuomba. \v 47 Ilipofika jioni, na mashua yao ilikuwa  katikati ya bahari, naye Yesu alikuwa peke yake pwani.

1
06/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Na aliwaona wakitaabika kupiga makasia kwa sababu upepo uliwazuia. Ilipokaribia asubuhi akawaendea, akitembea juu ya maji, na alitaka kuwapita. \v 49 Lakini walipomwona Yesu anatembea juu ya maji, wakaingiwa na wasiwasi wakidhani ni mzimu wakapiga kelele. \v 50 kwa sababu walimwona wakajawa na hofu. Mara Yesu akasema nao akawaambia, "Muwe na ujasiri! ni mimi! Msiwe na hofu."

1
06/51.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 51 Akaingia ndani ya mashua, na upepo ukaacha kuvuma, nao wakamshangaa sana. \v 52 Hivyo hawakuwa wameelewa maana ya ile mikate. Maana akili zao zilikuwa zimeshindwa kuelewa.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More