sw_mat_text_reg/26/73.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 73 Muda mfupi baadaye, wale waliokuwa wamesimama karibu, walimwendea na kusema na Petro, "Kwa hakika wewe pia ni mmoja wao, kwa kuwa hata usemi wako inaonyesha." \v 74 Ndipo alianza kulaani na kuapa, "Mimi simfahamu mtu huyu," na mara hiyo jogoo akawika. \v 75 Petro alikumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu, "Kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu."