sw_mat_text_reg/26/71.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 71 Alipoenda nje ya lango, mtumishi mwingine wa kike alimwona na kuwaambia waliokuwepo hapo, "Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti." \v 72 Akakana tena kwa kiapo, "Mimi simjui mtu huyu."