sw_mat_text_reg/26/69.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 69 Wakati huo Petro alikuwa amekaa nje katika ukumbi, na mtumishi wa kike alimwendea na kusema, "Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya." \v 70 Lakini alikana mbele yao wote, akisema, Sijui kitu unachosema."