sw_mat_text_reg/26/65.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 65 Ndipo Kuhani Mkuu alirarua mavazi yake na kusema, "Amekufuru! Je, twahitaji tena ushahidi wa nini? Angalia, tayari mmesikia akikufuru. \v 66 Je! Mnawaza nini? Wakajibu na kusema, "Anastahili kifo."