sw_mat_text_reg/26/59.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 59 Basi wakuu wa makuhani na Baraza lote walikuwa wakitafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu, kusudi wapate kumuua. \v 60 Ingawa walijitokeza mashahidi wengi, Lakini hawakupata sababu yoyote. Baadaye mashahidi wawili walijitokeza mbele \v 61 na kusema, " Mtu huyu alisema, ''Naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu."'