sw_mat_text_reg/26/55.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 55 Wakati huo Yesu akauambia umati, "Je! mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kama mnyang'anyi? Kila siku nilikaa hekaluni nikifundisha, na hamkunishika! \v 56 Lakini yote haya yametendeka ili Maandiko ya manabii yatimie." Ndipo wanafunzi wake wakamwacha na kukimbia.