sw_mat_text_reg/26/51.txt

1 line
486 B
Plaintext

\v 51 Tazama, mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu, alinyosha mkono wake, akachomoa upanga wake, na akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, na kumkata sikio lake. \v 52 Ndipo Yesu akamwambia, rudisha upanga wako pale ulipoutoa, kwa kuwa wote watumiao upanga wataangamizwa kwa upanga. \v 53 Mnadhani kuwa siwezi kumwita Baba yangu, naye akanitumia makundi ya majeshi zaidi ya kumi na mawili ya malaika? \v 54 Lakini basi jinsi gani maandiko yangeweza kutimizwa, hivi ndivyo inapasa kutokea?"