sw_mat_text_reg/26/45.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 45 Baadaye Yesu aliwaendea wanafunzi wake na kuwaambia, "Bado mmelala tu na kujipumzisha? Tazameni, saa imekaribia, na Mwana wa Adamu anasalitiwa mikononi mwa wenye dhambi. \v 46 Amkeni, tuondoke. Tazama, yule anaye nisaliti amekaribia."