sw_mat_text_reg/26/42.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 42 Akaenda zake mara ya pili na kuomba, akasema, "Baba yangu, kama jambo hili haliwezi kuepukika na ni lazima nikinywee kikombe hiki, mapenzi yako yatimizwe." \v 43 Akarudi tena na kuwakuta wamelala usingizi, kwa kuwa macho yao yalikuwa mazito. \v 44 Kisha akawaacha tena akaenda zake. Akaomba mara ya tatu akisema maneno yaleyale.