sw_mat_text_reg/26/36.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 36 Baadaye Yesu alienda nao mahali panapoitwa Gethisemane na aliwaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa nami nienda kule na kuomba." \v 37 Akamchukua Petro na wana wawili wa Zebedayo na akaanza kuhuzunika na kusononeka. \v 38 Kisha akawaambia, "Roho yangu ina huzuni kubwa sana, hata kiasi cha kufa. Bakini hapa na mkeshe pamoja nami."