sw_mat_text_reg/26/33.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 33 Lakini Petro alimwambia, "Hata kama wote watakukataa kwa sababu ya mambo yatakayokupata, mimi sitakukataa." \v 34 Yesu akamjibu, "kweli nakuambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu." \v 35 Petro akamwambia, "hata kama ingenipasa kufa na wewe, sitakukana." Na wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.