sw_mat_text_reg/26/30.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 30 Walipokuwa wamemaliza kuimba wimbo, walitoka kwenda Mlima wa Mizeituni. \v 31 Kisha Yesu akawaambia "Usiku huu ninyi nyote mtajikwaa kwa sababu yangu, kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika. \v 32 Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya."