sw_mat_text_reg/26/27.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 27 Akatwaa kikombe na kushukuru, akawapa na kusema, "Kunyweni wote katika kikombe hiki. \v 28 Kwa kuwa hii ni damu ya agano langu, inayomwagwa kwa ajili ya wengi kwa msamaha wa dhambi. \v 29 Lakini nawaambieni, sitakunywa tena matunda ya mzabibu huu, hadi siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu."