sw_mat_text_reg/26/23.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 23 Akawajibu, "Yule ambaye anachovya mkono wake pamoja nami katika bakuli ndiye atakaye nisaliti. \v 24 Mwana wa Adamu ataondoka, kama alivyoandikiwa. Lakini ole wake mtu ambaye atamsaliti Mwana wa Adamu! Ingelikuwa vizuri kwa mtu huyo kama asingelizaliwa." \v 25 Yudas, ambaye angemsaliti alisema, "Je,ni mimi Rabi?" Yesu akamwambia, "Umesema jambo hilo wewe mwenyewe."