sw_mat_text_reg/26/20.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 20 Ilipofika jioni, aliketi kula chakula pamoja na wale wanafunzi Kumi na wawili. \v 21 Walipokuwa wanakula chakula, alisema, "Kweli nawaambia kwamba mmoja wenu atanisaliti." \v 22 Walihuzunika sana, na kila mmoja alianza kumuuliza, "Je, hakika siyo mimi, Bwana?"