sw_mat_text_reg/26/10.txt

1 line
190 B
Plaintext

\v 10 Lakini Yesu, akiwa anajua hili, akawaambia, "Kwa nini mnamsumbua mwanamke huyu? Kwa kuwa amefanya kitu kizuri kwangu. \v 11 Masikini mnao siku zote, lakini hamtakuwa pamoja nami daima.