sw_mat_text_reg/26/06.txt

1 line
404 B
Plaintext

\v 6 Wakati Yesu alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simoni mkoma, \v 7 alipokuwa amejinyoosha mezani, mwanamke mmoja alikuja kwake akiwa amebeba mkebe wa alabasta iliyokuwa na mafuta yenye thamani kubwa, na aliyamimina juu ya kichwa chake. \v 8 Lakini wanafunzi wake walipoona jambo hilo, walichukia na kusema, "Nini sababu ya hasara hii? \v 9 Haya yangeweza kuuzwa kwa kiasi kikubwa na kupewa maskini."