sw_mat_text_reg/26/03.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 3 Baadaye wakuu wa makuhani na wazee wa watu walikutana pamoja katika makao ya Kuhani Mkuu, aliye kuwa anaitwa Kayafa. \v 4 Kwa pamoja walipanga njama ya kumkamata Yesu kwa siri na kumuua. \v 5 Kwa kuwa walisema, "Isifanyike wakati wa sikukuu, kusudi isije ikazuka ghasia miongoni mwa watu."