sw_mat_text_reg/21/45.txt

1 line
207 B
Plaintext

\v 45 Wakuu wa makuhani na mafarisayo waliposikia mifano yake, wakaona kuwa anawazungumzia wao. \v 46 Lakini kila walipotaka kunyosha mikono juu yake, waliogopa umati, kwa sababu watu walimtazama kama nabii.