sw_mat_text_reg/21/43.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 43 Hivyo nawaambieni, Ufalme wa Mungu utatwaliwa kutoka kwenu na kupewa taifa linalojali matunda yake. \v 44 Yeyote atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjwa vipande vipande. Lakini kwa yeyote litakayemwangukia, litamsaga."