sw_mat_text_reg/21/38.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 38 Lakini wakulima wa mizabibu walipomwona kijana yule, wakaambiana, `'Huyu ni mrithi, Njooni, tumuue na tumiliki urithi.' \v 39 `Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu na kumwua.