sw_mat_text_reg/21/28.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 28 Lakini mnafikiri nini? Mtu mwenye wana wawili. Akaenda kwa moja na kumwambia, `Mwanangu, nenda ukafanye kazi katika shamba la mizabibu leo. \v 29 `Mwana akajibu na kusema, `sitakwenda, ' Lakini baadaye akabadilisha mawazo yake na akaenda. \v 30 Na Mtu yule akaenda kwa mwana wa pili na kusema kitu kile kile. Mwana huyu akajibu na kusema, `nitakwenda, bwana', lakini hakwenda.