sw_mat_text_reg/21/23.txt

1 line
346 B
Plaintext

\v 23 Yesu alipofika hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamjia wakati alipokuwa akifundisha na kumwuliza, "Ni kwa mamlaka gani unafanya mambo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka haya?" \v 24 Yesu akajibu na kusema, "Nami tena nitawauliza swali moja. kama mkiniambia, nami vile vile nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.