sw_mat_text_reg/21/18.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 18 Asubuhi alipokuwa anarudi mjini, alikuwa na njaa. \v 19 Aliona mtini kando ya barabara. Akaufata, lakini hakupata kitu juu yake isipokuwa majani. Aliuambia, "Kusiwe na matunda kwako daima tena." Na mara hiyo mtini ule ukanyauka.