sw_mat_text_reg/21/15.txt

1 line
460 B
Plaintext

\v 15 Lakini wakati wakuu wa makuhani na waandishi walipoona maajabu aliyoyatenda, na waliposikia watoto wakipiga kelele hekaluni na kusema, "Hosana kwa Mwana wa Daudi," walishikwa na hasira. \v 16 Wakamwambia, "Umesikia kile kinachosemwa na hawa watu?" Yesu akawaambia, "Ndiyo! Lakini hamjawahi kusoma, 'Kutoka kwa midomo ya watoto na watoto wachanga wanyonyao mna sifa kamili?'' \v 17 Kisha Yesu akawaacha na kwenda nje ya mji katika Bethania na kulala huko.