sw_mat_text_reg/21/12.txt

1 line
361 B
Plaintext

\v 12 Kisha Yesu akaingia katika hekalu la Mungu. akawafukuza nje wote waliokuwa wakinunua na kuuza hekaluni. Pia alipindua meza za wabadilishaji fedha na viti vya wauza njiwa. \v 13 Akawaambia, "Imeandikwa, `'Nyumba yangu itaitwa nyumba ya maombi, `lakini ninyi mmeifanya pango la wanyang`anyi." \v 14 kisha vipofu na vilema wakamjia hekaluni, naye akawaponya.