sw_mat_text_reg/21/09.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 9 Umati uliomtangulia Yesu na wale waliomfuata walipaza sauti, wakisema,"Hosana kwa mwana wa Daudi! Ni mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana. Hosana juu zaidi!" \v 10 Yesu alipofika Yerusalemu, mji mzima ulishtuka na kusema, "Huyu ni nani? \v 11 "Umati ulijibu, "Huyu ni Yesu Nabii, kutoka Nazareti ya Galilaya."