sw_mat_text_reg/21/04.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 4 Jambo hili lilitokea ni lile lililosemwa kupitia kwa nabii lazima litimizwe. Akawaambia, \v 5 Waambie binti Sayuni, tazama, mfalme wako anakuja kwenu, mnyenyekevu na akiwa amempanda punda, mwana - punda, mtoto wa punda.