1 line
434 B
Plaintext
1 line
434 B
Plaintext
\v 1 Yesu na wanafunzi wake wakafika karibu na Jerusalemu na wakaenda mpaka Bethfage, katika mlima mizeituni, kisha Yesu akawatuma wanafunzi wawili, \v 2 akasema, "Nendeni katika kijiji kinachofuata, na mara moja mtamkuta punda amefungwa pale, na mwana punda pamoja naye. wafungueni na kuwaleta kwangu. \v 3 Ikiwa mtu yeyote akisema chochote kuhusu hilo, mtasema, `Bwana anawataka, ` na mtu huyo mara moja atawaruhusu mje pamoja nao" |