sw_mat_text_reg/16/13.txt

1 line
391 B
Plaintext

\v 13 Wakati Yesu alipofika sehemu za Kaisaria ya Filipi, akawauliza wanafunzi wake akisema, "Watu wanasema kuwa Mwana wa Adamu ni nani?" \v 14 Wakasema," Wengine husema kuwa ni Yohana Mbatizaji; wengine, Eliya; na wengine, Yeremia, au mojawapo wa manabii. \v 15 Akawaambia, ninyi mwasema mimi ni nani? \v 16 Kwa akijibukujibu, Simoni Petro akasema, "Wewe ni Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"