sw_mat_text_reg/16/09.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 9 Je bado hamtambui wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa watu elfu tano, na vikapu vingapi mlivyokusanya? \v 10 Au mikate saba kwa watu elfu nne, na ni vikapu vingapi mlikuchukua?