sw_mat_text_reg/16/05.txt

1 line
418 B
Plaintext

\v 5 Wanafunzi wakaja upande wa pili, lakini walikuwa wamesahau kuchukua mikate. \v 6 Yesu akawaambia " Jitahadharini na iweni makini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo." \v 7 Wanafunzi wakahojiana miongoni mwao na kusema. "Ni kwa sababu hatukuchukua mikate." \v 8 Yesu alitambua hilo na kusema, "Enyi wenye imani ndogo, kwa nini mmewaza na kusemezana miongoni mwenu na kusema kuwa ni kwa sababu hamkuchukua mikate?