sw_mat_text_reg/12/46.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 46 Wakati Yesu alipokuwa akizungumza na umati tazama, mama yake na ndugu zake walisimama nje, wakitafuta kuongea naye. \v 47 Mtu mmoja akamwambia, "Tazama mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanatafuta kuongea nawe".