sw_mat_text_reg/12/36.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 36 Nasema kuwa katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu ya kila neno lisilo na maana walilosema. \v 37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa."