sw_mat_text_reg/11/18.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 18 Kwa kuwa Yohana alikuja bila kula mkate au kunywa mvinyo, na wakawa wanasema, 'Ana pepo.' \v 19 Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa na wakasema 'Angalia, ni mtu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi!' Lakini hekima inathibitishwa kwa matendo yake.''