sw_mat_text_reg/11/04.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 4 Yesu akajibu na kusema kwao "Nendeni mkamtaarifu mkamwambie Yohana yale mnayoyaona na yale mnayoyasikia. \v 5 Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wakoma wanatakaswa,viziwi wanasikia tena, wafu wanafufuliwa, nayo injilii hubiriwa kwa masikini. \v 6 Na amebarikiwa yule asiyeona shaka juu yangu.