sw_mat_text_reg/10/28.txt

1 line
394 B
Plaintext

\v 28 Msiwaogope wale ambao wanaua mwili lakini hawana uwezo wa kuua roho. Badala yake, mwogopeni yule ambaye awezaye kuangamiza mwili na roho kule kuzimu. \v 29 Je kasuku wawili hawauzwi kwa senti ndogo? Hata hivyo hakuna anayeweza kuanguka chini bila Baba yenu kufahamu. \v 30 Lakini hata idadi ya nywele zenu zimehesabiwa. \v 31 Msiwe na hofu, kwa kuwa mnathamani zaidi kuliko shomoro wengi.