sw_mat_text_reg/10/11.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 11 Mji wowote au kijiji mtakachoingia, tafuteni ambaye anastahili na mkae pale mpaka mtakapoondoka. \v 12 Mtakapoingia katika nyumba salimieni, \v 13 endapo nyumba inastahili, amani yenu ibaki pale, lakini kama nyumba haistahili, amani yenu iondoke pamoja nanyi.