sw_mat_text_reg/05/29.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 29 Na kama jicho lako la kulia linakusababisha kujikwaa, ling'oe na ulitupe mbali nawe. Kwa kuwa ni afadhali kiungo kimoja katika mwili wako kiharibike kuliko mwili mzima kutupwa jehanamu. \v 30 Na kama mkono wako wa kuume unakusababisha kujikwaa, ukate utupe mbali nawe. Maana ni afadhali kiungo kimoja katika mwili wako kiharibike kuliko mwili mzima kutupwa jehanamu.