sw_mat_text_reg/05/05.txt

1 line
208 B
Plaintext

\v 5 5 Heri wenye upole, maana watairithi nchi. \v 6 Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watashibishwa. \v 7 Heri wenye rehema maana hao watapata Rehema. \v 8 Heri wenye moyo safi maana watamwona Mungu.