sw_mat_text_reg/21/40.txt

1 line
294 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 40 Je mmliki wa shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanya nini wakulima wa mizabibu?" \v 41 Wakamwambia, "Atawaharibu hao watu waovu katika njia ya ukali zaidi, na kisha atalikodisha shamba la mizabibu kwa wakulima wengine wa mizabibu, watu ambao watalipa kwa ajili ya mizabibu itakapoiva."