sw_mat_text_reg/11/20.txt

1 line
408 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 20 Yesu alianza kuikemea miji ambamoambayo baadhi ya matendo yake ya ajabu yalitendeka, kwa sababu walikuwa hawajatubu, \v 21 Ole wako, Kolazini, Ole wako Bethsaida! Kama matendo makuu yaliyofanyika kwenu ,yangefanyika Tiro na Sidoni wangekuwa  wametubu zamani kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu. \v 22 Lakini nawaambia itakuwa rahisi Zaidi kwa Tiro na Sidoni  kustahimili siku ya hukumu kuliko ninyi.